Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekiri kwamba nchi hiyo ilichelewa kuchukua hatua kuhusu kuongezeka mgogoro mkubwa wa wakimbizi

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekiri kwamba nchi hiyo ilichelewa kuchukua hatua kuhusu kuongezeka mgogoro mkubwa wa wakimbizi na kutofanya maamuzi sahihi. Katika mahojiano maalumu kiongozi huyo wa Ujerumani amesema kadhalika wajerumani walipuuza tatizo hilo la mgogoro wa wakimbizi kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa kauli ya Merkel wakimbizi wengi walianza kukimbilia Ulaya kuanzia¬† mwaka[…]

Kiongozi wa upinzani Gabon amesema matokeo ya uchaguzi ambayo yamekusanywa yanaonyesha kuwa amemshinda Rais Ali Bongo

Kiongozi wa upinzani nchini Gabon, Jean Ping, amesema matokeo ya uchaguzi ambayo yamekusanywa na timu yake kutoka maeneo yote nchini humo yanaonyesha kuwa amemshinda Rais Ali Bongo, ambaye yeye na familia yake wamekuwepo madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Waziri wa mambo ya ndani wa Gabon, alitarajiwa kutangaza matokeo rasmi ya uchaguzi huo jana baada[…]

Mgogoro Mkubwa Umeibuka kati ya wenyeviti wa serikali ya Mitaa katika kata ya Vingunguti na Afisa mtendaji

Mgogoro Mkubwa Umeibuka kati ya wenyeviti wa serikali ya Mitaa katika kata ya Vingunguti na Afisa mtendaji wa kata hiyo ambapo majira ya asbhi wenyeviti hao wakiongozwa na diwani wao walizifunga kwa minyororo na kufuri ofisi za afisa mtendaji kata kwa tuhuma lukuki zikiwemo madai ya ubadhilifu. Wakizungumza na Chanel Ten wenyeviti hao wamedai kuwa[…]

Kamati ya madawati mkoa wa Dsm inayoongozwa na CHANNEL TEN imekabidhi madawati 100 shule msingi kinyerezi

Kamati ya madawati mkoa wa dar es salaam imemaliza kero ya upungufu wa madawati iliyokuwa ikiikabili shule ya msingi kinyerezi iliyopo manispaa ya Ilala baada ya kukabidhi madawati 100. Akikabidhi madawati hayo mkuu wa wilya ya Ilala Sophia Mjema amesema kero hiyo iliokuwa ikizikabili shule nyingi za jijini dar e salaam imeanza kumalizika hivyo ni[…]