Waziri Mkuu Ashiriki Mkutano wa APRM Nairobi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko tayari kujifunza kutoka kwa nchi nyingine ambazo ni wanachama wa Mpango wa Kujitathmni Kiutawala Bora barani Afrika (APRM) ili iweze kuboresha hatua ilizofikia kwenye mpango huo. Ametoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 26, 2016) wakati akichangia mada katika Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Mpango wa Kujitathmni Kiutawala Bora[…]

Wananchi Waiomba Serikali Iwatatulie Kero

  Wakazi wa Kijiji cha Kasumo, wilayani Buhigwe, mkoani Kigoma, wameiomba serikali iwatatulie kero mbalimbali zinazokikabili kijiji chao ikiwemo huduma za afya, maji, Elimu na Barabara. Wametoa kilio hicho kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, mara baada ya kuwasili katika kijiji hicho ambapo pamoja na mambo mengine amewasisitiza watanzania kulipa kodi na[…]

Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani Yazinduliwa

Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Jenista Mhagama amewaonya watendaji wa ofisi yake wanaosimamia mfuko wa kuwawezesha vijana kiuchumi kuacha urasimu utakaosababisha fedha zinazotengwa na serikali kutowafikia walengwa kwa wakati. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kuzindua Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani Tanzania[…]

Kupatwa kwa Jua

Serikali mkoani Njombe imehadharisha kuwa kutazama tukio la kupatwa kwa jua moja kwa moja bila kutumia kifaa kunaweza kuleta madhara kwa mtazamaji, TukIo la kupatwa kwa jua linatarajiwa kutokea kwenye mikoa ya nyanda za juu kusini Septemba Mosi mwaka huu. Tahadhari hiyo inatolewa na mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi zikiwa zimebaki siku[…]