Marekani yataka Raia wake kuondoka Congo Kufuatia kuwepo kwa Kitisho

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imewaamuru raia wake wanaofanya kazi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo. Hatua hiyo inatokana na kuendelea kwa wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuzuka machafuko ya kisiasa ambapo katika wiki za hivi karibuni, maandamano ya upinzani kupinga kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais yamekumbwa na vurugu.[…]

Waziri Mkuu kuhamia Dodoma rasmi pia kapokea mchango wa tetemeko la Ardhi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea michango ya fedha¬† kutoka Ubalozi wa Pakistan nchini, ubalozi wa China pamoja na Taasisi ya Aghakhan kwa ajili ya walioathirika kutokana na tetemeko la ardhi la Septemba 10 mkoani Kagera. Akipokea michango hiyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inathamini michango ya wadau mbalimbali ambao wamejitoa kuchangia wananchi wa Kagera[…]

Serikali yapata hasara ya Shilingi Bilioni 23.14

Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma PPRA, umebaini serikali kupata hasara ya takribani shilingi bilion 23.14 kutokana na ukiukwaji wa sheria na taratibu za manunuzi ya umma kwenye mikataba 49 kutoka kwenye taasisi nane za umma. Sababu kubwa ya hasara hiyo, PPRA imezielezea kuwa ni udhaifu katika kuandaa mipango na kufanya upembuzi yakinifu uliosababisha[…]