Tetemeko la Ardhi Italia

Maelfu ya watu katikati mwa mji wa Italia wamelala katika magari na mahema ikiwa ni kama makazi ya muda mfupi baada ya tetemeko kubwa kupiga katika eneo hilo tokea lile la mwezi Agosti lililoua mamia ya watu. Wakaazi hao wamesema walikuwa na hofu ya kuendelea kukaa ndani mwa nyumba zao kutokana na kuporomoka kwa majengo[…]

Hillary Clinton Kitanzini Tena

Ikiwa zimesalia siku nane kabla ya uchaguzi wa urais nchini Marekani, suala la barua pepe la Hillary Clinton, lililoibuliwa na FBI, limeibua hali ya sintofahamu katika kambi ya Wademocrat. Kamati ya maandalizi ya kampeni ya Clinton, ambayo alidhani ina uhakika na ushindi wa mgombea huyo, imejikuta ikinyong’onyea ambapo sasa inakabiliana na hali hiyo. Hata hivyo[…]

Rais Magufuli nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ammbaye yuko nchini Kenya kwa ziara ya kiserikali ameitaja nchi hiyo kuwa ndiyo inayoongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la Afrika. Rais Magufuli amebainisha hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya baada[…]