TPDC imekanusha taarifa hizi zinazoenezwa kuhusu Kampuni ya Dangote

Shirika la Mendeleo la Petroli Tanzania TPDC limekanusha taarifa zinazoenezwa na Kampuni ya Dangote na washirika wake kupitia mitandao ya kijamii vikiwemo vyombo vya Habari vikidai kuwa TPDC imeshindwa kukiuzia gesi asilia kwa bei nafuu kiwanda cha Saruji cha Dangote hivyo kuwa moja ya sababu ya kiwanda hicho kusimamisha uzalishaji. Akizungumza jijini Dar es salaam[…]

Mashindano ya mbio za ndege za kale kuanza kufanyika kuanzia nchini Ugiriki

Mashindano ya mbio za ndege za kale yajulikanayo kama Vintage air rally ndege zilizotengenezwa kati ya miaka ya 1920-40 ambayo kwa mara ya kwanza yafanyika duniani yakianzia nchini Ugiriki na ambayo yanatarajiwa kumalizikia nchini Afrika kusini katika mji wa capetown yametua katika ardhi ya Tanzania katika Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Lengo la mashindano hayo[…]

NSSF imeamua kujikita katika uwekezaji wa viwanda na majengo ili lisitetereke kifedha

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeamua kujikita katika uwekezaji wa viwanda na majengo ili lisitetereke kifedha na kushindwa kutoa huduma kwa wanachama wake. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, wakati wa kusaini makubaliano na atakayekuwa mwendeshaji wa hoteli ya Mzizima Towers alisema[…]

Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja leo umetangaza zabuni ya wazi ya kuagiza mafuta Januari mwaka 2017

Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja leo umetangaza zabuni ya wazi ya kuagiza mafuta Januari mwaka 2017 pamoja utaratibu wa kutumia makampuni yaliyoandikishwa nchini kushindana yenyewe katika zabuni hiyo. Meneja Mkuu wa Kampuni ya uagizaji mafuta kwa pamoja PIC Bw. MICHAEL MJINJA, akizungumza wakati wa kutangaza zabuni hiyo, amesema, awali makampuni yote ya ndani na[…]

Serikali imesema itabadilisha viwango vya tozo ya ushuru kwa wafanyabiashara wa mkaa

Serikali imesema itabadilisha viwango vya tozo ya ushuru kwa wafanyabiashara wa mkaa ili kuwabana wasafirishaji wa zao hilo la misitu ndani na nje ya nchi hatua ambayo itapunguza kwa kiasi kikubwa uharibifu wa misitu kwa kukata miti ovyo na kusababisha jangwa. Tamko la serikali limetolewa jijini Dar es salaam na Waziri wa Maliasili na Utalii[…]

Wakulima wa Korosho pamoja Nazi wametakiwa kutumia mitandao ya simu kuhifadhi pesa zao katika msimu huu wa uvunaji

Wakulima wa mazao ya Korosho pamoja na Nazi wa Mikoa wa Lindi na Mtwara wametakiwa kutumia mitandao ya simu kuhifadhi pesa zao katika msimu huu wa uvunaji wa mazao ili kuondokana na ujambazi unaotokana na kuhifadhi pesa nyingi Ndani ya nyumba. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya lindi Shaibu Ndemanga wakati akizindua Mnara wa[…]