Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aomba ushirikiano wa mikoa jirani Kudhibiti Ugonjwa wa Kipindupindu Mkoani Katavi

15826323_1400789343279262_4932933008971786789_n

Watu watatu wamefariki dunia na wengine wamelazwa katika zahanati ya Karema iliyopo wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.

Akithibitisha kutokea kwa ugonjwa wa kipindupindu mkuu wa wilaya ya Tanganyika Salehe Mwando amekiri kuwepo kwa ugonjwa huo katika wilaya hiyo na watu watatu kufariki dunia na themenini na nane kulazwa

Aidha mkuu huyo wa wilaya ya Tanganyika amesema anaomba ushirikiano kati ya mkoa wa Kigoma,Tabora Rukwa na DRC nchini Kongo kuweka karatini ya kuweza kudhibiti ugonjwa wa pindupindu katika vyombo vya usafiri na wasafiri.

Facebook Comments