Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache

Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache tu baada ya kuwaagiza mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo raia wanaotoka katika baadhi ya mataifa ya kiislamu. Taarifa ya Ikulu ya Whitehouse imemshutumu kwa usaliti Sally Yates ambaye aliteuliwa na Obama , ikisema kuwa[…]

Tukio jingine la watu sita wapotelea Ziwa Tanganyika hadi sasa hawaonekani

Wakazi sita wa Manispaa ya Kigoma Ujiji waliokuwa wakisafirisha bidhaa zao kutoka eneo la Kibirizi kwenye Manispaa  ya Kigoma kuelekea Kalemii nchi jirani ya DRC Congo  wamepotelea ziwa Tanganyika tangu Januari 23 mwaka huu hadi sasa. Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma Feldinand Mtui amesema boti ya mizigo iliyojulikana kwa[…]

Vijana watatu wanaodhaniwa kuwa ni wezi wamejikuta wakipata Kipigo kutoka kwa wafanyabiashara K/Koo DSM

Vijana watatu wanaodhaniwa kuwa ni wezi wamejikuta wakipata Kipigo kutoka kwa wafanyabiashara katika eneo la kariakoo eneo la gerezani jijini Dsm, baada ya kudaiwa kuiba na kutaka kukimbia eneo lenye msongamano mkubwa wa wafanyabiashara. Vijana hao ambao majina yao hayakutambulika mara moja walijikuta matatani baada ya kuzingirwa na kukamatwa na wafanyabiashara hao ambao wanadai kuwa[…]