Waandishi wa Habari watahadharishwa Ni kuhusu kuzielewa sheria mpya zilizopitishwa

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuzifahamu sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 na Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 ili kujiepusha na mgogoro wa sheria pindi wanapotekeleza majukumu yao ya kuuhabarisha umma. Sheria ambazo ambazo zimeshasainiwa na Rais Baada ya kupitishwa na Bunge, kwa baadhi ya watu zimeonekana kama zitaminya uhuru wa vyombo[…]