Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni anatarajia kufanya ziara ya siku mbili Tanzania

Rais wa jamuhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mwishoni mwa wiki hii hapa, nchini lengo kuu la ziara hiyo likijikita moja kwa moja kwenye mahusiano ya masuala ya kiuchumi. Akiongea na vyombo vya habari kuelezea ziara hiyo itakayoanza jumamosi asubuhi waziri wa mambo ya nje, kikanda na kimataifa Balozi[…]

Hifadhi ya msitu ya Rwangasa Geita, Waliovamia wapewa muda hadi Agosti 15 kuondoka kwa hiari

  MKUU wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi amewapa miezi mitano hadi kufikia Agosti 15 zaidi ya wananchi 4,000 waliovamia hifadhi ya msitu wa Rwangasa Wilayani Geita kuondoka katika hifadhi hiyo inayokadiriwa kuwa na ukubwa wa hekta 15,000 iliyo chini ya wakala wa Misitu Tanzania TFS Hatua ya kuwaondoa waliovamia maeneo ya hifadhi imekuja wakati[…]

Serikali yajipanga kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Manyara

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Ngungungu Mamire wilayani Babati, mkoani Manyara ili uweze kurahisisha mawasiliano kwa mikoa mitano inayozunguka mkoa huo. Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na watumishi na viongozi mbalimbali wa mkoa huo kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku[…]