Watanzania wameshauriwa kufanya utalii wa kutembea kwa miguu katika maeneo yaliyohifadhiwa nchini

WATAZANIA wameshauriwa kufanya utalii wa kutembea kwa miguu katika maeneo yaliyohifadhiwa nchini badala ya ile iliyozoeleka ya kutalii kwa kutumia magari ili kuwa katika nafasi nzuri zaidi kuona wanyama na vivutio mbalimbali kwa karibu. hifadhi zilizo nyingi za ¬†wanyamapori zilizopo hapa nchini watalii wanaruhusiwa kuangalia wanyama¬† wakiwa ndani ya magari kuhofia kushambuliwa na wanyama wakali.[…]

Shambulio la Bomu Afghanistan, Watu 80 waripotiwa kuuawa na wengine 90 kujeruhiwa

Watu 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka mjini Kabul. Watu tisa wameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 90 wameripotiwa kujeruhiwa leo mapema katika mlipuko mkubwa wa bomu lililotegwa katika gari katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul. Polisi imethibitisha kwamba mlipuko huo ulitokea karibu na ubalozi[…]

Siku ya Kutotumia Tumbaku Duniani,Serikali yaahidi sheria kali kudhibiti matumizi

Tanzania leo imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya kutotumia tumbaku duniani, huku Tanzania ikiahidi kuunda sheria kali pamoja na kusimamia utekelezaji wa kanuni za bidhaa za tumbaku, ambazo zinapiga marufuku matangazo ya tumbaku kupitia kwenye mabango ya barabarani, na kwenye Vyombo vya Habari. kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Takriban asilimia 32 ya[…]

Miundo mbinu yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 5.3 jijini DSM ziko hatarini kuharibika

Miundo mbinu yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 5.3 jijini Dar es salaam ziko hatarini kuharibika kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayopelekea kutokea kwa majanga mbalimbali ikiwemo Mvua za mara kwa mara zinazopelekea mafuriko katika maeneo mbalimbali hapa jijini. Hatua hiyo imefahamika katika mkutano maalum uliowahusisha wadau wa program ya maalum ya[…]