Wakazi wa kijiji cha Ilemba B wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamechangishana na kufanikiwa kulima

Wakazi¬†wa kijiji cha Ilemba B wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamechangishana na kufanikiwa kulima barabara yenye urefu wa kilometa saba kwa gharama ya shilingi mil 3.1 ikiwa ni mchango wa fedha taslimu na nguvu za wananchi na kuboresha miundombinu ya barabara katika mitaa ya kijiji hicho. Mwenyekiti wa kijiji cha Ilemba B amesema baada ya[…]

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2017,Amour Hamad Amour ameridhishwa na jitihada zinazofanywa kusaidia wakulima

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2017,Amour Hamad Amour ameridhishwa na jitihada zinazofanywa kusaidia wakulima kupata bei bora ya mazao, baada ya chama cha msingi cha ushirika Umoja wilayani Liwale Mkoani Lindi kutekeleza mpango wa serikali wakuongeza ajira na kukuza uchumi wa viwanda, baada chama hicho kujenga kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti[…]

Kunusuru wanyama wanaogongwa hifadhi ya Mikumi, Ujenzi wa kuchepusha barabara ya Morogoro – Mikumi iharakishwe

Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Mkoani Morogoro imeomba Serikali kuharakisha ujenzi wa kuchepusha barabara ya kutoka Morogoro Kilosa hadi Mikumi ili kunusuru Vifo vya Wanyama wanaogongwa pamoja na uchafunzi wa mazingira unaofanywa na wasafiri wanaopita katika barabara inayopita ndani ya Hifadhi hiyo. Akiongea na timu ya waandishi wa habari mwikolojia kutoka hifadhi ya taifa mikumi[…]

Misaada ya kimaendeleo, Marekani kuendelea kuisaidia Tanzania

Marekani imesema itaendelea kuisaidia Tanzania katika nyanja mbalimbali ikiwemo za Kisekta na kuondoa hofu iliyopo kufuatia madai kwamba Rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump, anatarajiwa kupunguza misaada kwa bara la Afrika. Msimamo huo wa Marekani,umetolewa na kaimu Balozi wa Marekani nchini,VIRGINIA BLASER,katika mahojiano maalum na CHANNEL TEN ,yaliyolenga kujua uhusiano wa Marekani na Afrika,husuani[…]

Akinamama walalamika kitendo cha kutozwa faini wanapojifungulia njiani pindi wanapokuwa safarini Rukwa

LICHA ya kuwepo kwa sera ya serikali inayoagiza matibabu bure kwa akinamama wajawazito na watoto walio na umri chini ya miaka mitano, akinamama katika kijiji cha Kazi kata ya Lyangalile wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamelalamikia kitendo cha kutozwa faini ya shilingi elfu hamsini wanapojifungulia njiani pindi wanapokuwa safarini kuelekea zahanati katika kijiji cha Katonto[…]

Wanafunzi 33 wa Sekondari wilayani Meatu wamekatisha masomo yao baada ya kupata ujauzito

Wanafunzi 33 wa Sekondari wilayani Meatu mkoani Simiyu wamekatisha masomo yao baada ya kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka 2016 hadi mwezi April mwaka huu, huku ikielezwa kuwa baadhi ya wanafunzi wilayani humo wamekuwa wakigoma kutoa ushahidi pale wanapofikishwa kwenye vyombo vya dola. Hayo yalibainishwa na Ofisa a Elimu Sekondari wilaya ya Meatu, ESTOMIH MAKYARA[…]