Norway yaahidi kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende amemhakikishia Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Norway itaendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania hususani kuboresha huduma za kijamii na uwekezaji katika miradi mikubwa ya maendeleo. Bwana Borge Brende aliyeongozana na Balozi wa Norway hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad amesema hayo Ikulu Jijini[…]

Maabara bubu yakutwa Songwe, Imekutwa na dawa za serikali

Wakati Serikali ikipiga vita uuzaji wa dawa za binadamu kiholela, mahabara bubu imekutwa ikiwa na dawa za serikali na vifaa tiba kinyume na taratibu katika mamlaka ya Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe. Hatua hiyo,imekuja baada ya wasamalia wema kutoa taarifa halmashauri ya Mbozi na hatimaye mganga mkuu, Jannet Makoye akafika eneo hilo kwa kushtukiza licha[…]