Shambulizi la bomu Kenya, Watu wanane wameuawa.

Jumla wa watu wanane wameuawa miongoni mwao wakiwemo polisi baada ya bomu la kutegwa kando ya barabara kulipuka kaunti ya Lamu kusini mwa Pwani ya Kenya. Tukio limefikisha jumla ya watu 46 waliopoteza maisha kutokana na mfululizo wa milipuko ya mabomu ya kutegwa kando ya barabara inayodaiwa kufanywa na wanamgambo wa al-Shabaab kutoka Somalia katika[…]

Jengo lawaka moto DSM, Wananchi wakumbwa na taharuki

Wananchi wanaofanya shughuli zao katika mtaa wa India na Zanaki jijini Dar es salaam wamekumbwa na taharuki kubwa baada jengo moja la ghorofa kushika moto. Hata hivyo hakuna madhara yaliyoletwa na moto huo baada ya vikosi vya zimamoto kuwahi kufika eneo la tukio kuuzima na chanzo cha moto huo hakijafahamika. Akizungumza kuhusu moto huo, Mratibu[…]

Wakazi wa mji mdogo wa Merelani waililia serikali juu ya unyanyasaji na uzalilishaji

Wakazi wa mji mdogo wa Merelani wameiomba serikali kuingilia kati vitendo vya unyanyasaji na uzalilishaji vinavyoendelea dhidi ya wafanyakazi katika migodi ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite maarufu kama WANA-APOLO , baada ya Mfanyakazi kutoka moja ya migodi hiyo kunusurika kufa baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa moto na mwajiri wake. Wakazi hao wakiongozwa[…]