Tamko la Kamati kuu CHADEMA, Mpango wa kupokonya wenye viwanda wapingwa

Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) kimeeleza kutounga mkono mpango wa Serikali wa kuwapokonya viwanda wawekezaji kwa madai ya kushindwa kuviendeleza na kupendekeza serikali kwanza itatue changamoto mbalimbali zilizosababisha wawekezaji hao kushindwa kuviendeleza viwanda husika. Akitoa taarifa ya maazimio ya kikao cha kamati kuu ya chama hicho kilichofanyika julai 29 na 30 jijini Dar es[…]

Majadiliano kati ya Serikali na Kampuni ya Barrick Gold Coporation yameanza leo DSM

Majadiliano kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Wawakilishi kutoka Barrick Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya kampuni hiyo hapa nchini yameanza leo Jijini Dar es Salaam. Kamati Maalum ya Tanzania inaongozwa na Waziri wa Sheria na Katiba Prof.[…]

Polisi wa Kenya wamkamata mshukiwa wa ugaidi Mombasa

Polisi wa Kenya wamethibitisha kuwa wanafanya uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa wa ugaidi aliyekuwa anatafutwa baada ya kumkamata mjini Mombasa. Kamanda wa polisi wa Mombasa Bw Larry Kieng amesema mtu aliyepata mafunzo toka kwa Kundi la Al-Shabaab Bw Kahir Murit anaaminika kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya, na ataachiwa huru baada ya uchunguzi. Ameongeza kwamba polisi[…]