Mkutano wa umoja wa Afrika wamalizika, Baadhi ya viongozi washindwa kuafikiana katika maazimio.

Mkutano wa 29 wa Umoja wa Afrika uliomalizika jana katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa,baadhi ya wakuu wa nchi waliondoka wakiwa na wasiwasi na wengine wakisema wameridhika na maazimio yaliyofikiwa. Miongoni mwa wakuu wa nchi walioonyesha wasiwasi wao ni pamoja na Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh ambaye aligusia mgogoro kati ya nchi yake[…]

Urundikaji wa vifusi barabarani, Tanroads ichukue hatua kuepusha usumbufu

Abiria wanaosafiri kwa njia ya barabara kati ya wilaya za Liwale na Nachingwea mkoani Lindi wameiomba ofisi ya wakala wa barabara Tanroad mkoa wa Lindi kuwasimamia wakandarasi ili wasambaze vifusi kwa muda mfupi ili kusaidia magari yanayosafiri kumudu kupita kwa urahisi tofauti na ilivyo sasa ambapo wengine ulazimika kulala katika kilometa 128 zinazounganisha wilaya hizo[…]