Uvumi kuhusu wizi wa madini Mererani, Ofisi ya Madini Kanda ya Kaskazini yakanusha

Ofisi ya madini kanda ya kaskazini imetoa ufafanuzi kufuatia uvumi wa wizi wa madini ya Tanzanite katika mgodi wa Tanzanite One Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambapo imesisitiza kuwa hakuna madini yaliyobwa. June 21 mwaka huu ndio tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya tetesi kuzagaa kuwa kuna utoroshaji wa madini hayo hali iliyokilazimu kituo hiki[…]

Makampuni ya simu za mkononi, Yapewa changamoto kupanua wigo wa huduma

Makampuni ya simu za mikononi kwa kushirikiana na serikali pamoja na sekta binafsi yametakiwa kuhakikisha mawasiliano ya simu za mkononi yanamfikia kila mtu vijijini na mijini ili kusaidia litakalosaidia katika kutekeleza na kufikiwa kwa malengo endelevu 17 yaliyowekwa na dunia (.SDGs). Rai hiyo imetolewa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wakati ambapo amesema[…]

CHADEMA kanda ya Pwani imetangaza rasmi kuisaidia CUF kutokana na mgawanyiko

Chama cha demokrasia na maaendeleo – CHADEMA kanda ya Pwani kimetangaza rasmi kukisaidia chama cha wananchi CUF kuhakikisha kinarejea kwenye mstari kutokana na mgawanyiko uliojitokeza kufuatia mwenyekiti wa chama cha CUF Prof Ibrahim Lipumba kurejea kwenye chama hicho baada ya kujiudhuru. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na kaimu mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Pwani[…]

Waliokula Fedha za Ushirika watazilipa – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitahusika na ulipaji wa deni la fedha za Ushirika na badala yake kila aliyekula fedha hizo atazilipa mwenyewe. Waziri Mkuu ameyasema hayo jana wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Liwale katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa wilaya. Waziri Mkuu ambaye yuko katika na ziara[…]