Wilaya ya Temeke bado ina uhitaji wa walimu hasa ukizingatia kuwa zoezi la uhakiki wa vyeti feki limeondoka na walimu zaidi 120

Wilaya ya Temeke bado ina uhitaji wa walimu katika shule za msingi na sekondari hasa ukizingatia kuwa zoezi la uhakiki wa vyeti feki limeondoka na walimu zaidi 120 kwenye shule za msingi licha ya kuwepo kwa upungufu huo awali hivyo kuongeza uhaba wa walimu na kufikia 264. Hayo yamebainishwa na mkurugenzi manispaa ya Temeke NASSIB[…]

Baada ya waziri wa fedha na mipango Dk.Philipo Mpango kukifungia kituo cha mafuta cha Petro, Kamishina mkuu TRA Charles Kichele amekifungua

Siku chache baada ya waziri wa fedha na mipango Dk.Philipo Mpango kukifungia kituo cha mafuta cha Petro, Kamishina mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA Charles Kichele amekifungua kituo hicho kilichopo Mjemwema Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kukidhi vigezo vinavyohitajika ikiwemo kutoa huduma ya mafuta kwa kutumia mfumo wa moja kwa[…]

Vyama vya ushirika Mkoa wa Manyara, Vyatakiwa kuchangamkia Bima ya Mazao

Serikali ya Mkoa wa Manyara,imeziomba taasisi za fedha zikiwemo benki kuiga mfano wa taasisi ambazo zimeanza kuwasaidia wakulima kwa kuwapa bima za mazao zinazomlinda mkulima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo ukame, mafuriko, mvua nyingi na maradhi, badala ya kuendelea kung’ang’ania kutoa huduma zilizooeleka ikiwemo za kuweka, kutoa na kukopesha fedha. Wito huo umetolewa Mkoani humo[…]