Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, Wataalamu wa maliasili wajipanga kuepukana nazo

Wakati serikali inaelekea kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda wataalamu wa maliasili katika sekta mbalimbali nchini , wamejipanga kuhakikisha wanaangalia mapema mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuepukana na athari zinazoweza kujitokeza katika sekta za kiuchumi kutokana na kuongezeka kwa gesi joto . Mabadiliko ya tabia ya nchi huweza kuleta athari za kukwamisha uchumi wa[…]