Rais Magufuli atoa onyo kwa Wakandarasi wasio zingatia mikataba

RAIS John Pombe Magufuli amemuagiza waziri wa ujenzi kuwawajibisha wakandarasi wanaokiuka mikataba yao kwa kufanya kazi bila kuzingatia taratibu na sheria za mikataba kwa kuchelewasha miradi wanayokabidhiwa. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara yake ya kuweka jiwe la Msingi katika ujenzi wa Barabara inayoanzia Nyakanazi wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera hadi kijiji cha Kabingo[…]