Wakulima wa viazi Njombe wakosa masoko

Wakulima¬†wa viazi katika kijiji cha Boimanda mkoani Njombe wameiomba serikali kudhibiti uingizwaji wa viazi kutoka nje ya nchi kwa lengo la kulinda soko la ndani la bidhaa hiyo. Viazi ni moja ya mazao muhimu kiuchumi ktk maeneo mengi mkoani Njombe na hasa ktk eneo hili la Boimanda. Wakulima wengi ktk eneo hili wanakichukulia kilimo cha[…]

Zaidi ya watoto 5,600 Tarime na Serengeti mkoani Mara wamelazimika kuzikimbia familia zao ili kukwepa kufanyiwa vitendo vya ukeketaji

Katika kuunga mkono kampeni ya serikali dhidi ya mapambano ya vitendo vya ukatili vinavyotokana na mila potofu kwenye maeneo mengi hapa nchini zaidi ya watoto 5,600 katika wilaya ya Tarime na Serengeti mkoani Mara wamelazimika kuzikimbia familia zao ili kukwepa kufanyiwa vitendo vya ukeketaji ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikichangia kuenea kwa virusi vya ukimwi[…]

Mahakama yafahamishwa kuwa mmiliki wa kampuni ya IPTL Harbinder Singh Seth amewekewa Balloon Puto tumboni kutokana na ugonjwa unaomkabili

Upande wa utetezi umeieleza mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es salaam kuwa mmiliki wa kampuni ya IPTL Harbinder Singh Seth amewekewa Balloon Puto tumboni kutokana na ugonjwa unaomkabili hivyo asipohudumiwa ipasavyo anaweza kupoteza maisha. Mbali na seth mwingine ni mfanyabiashara James Rugemarila kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 yakiwemo ya kutakatisha fedha na[…]

Sudan Kusini yataka majukumu ya vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa nchini humo yapitiwe upya

Sudan Kusini imetaka majukumu ya kikosi kipya cha ulinzi cha kikanda RPF kilicho chini ya Tume ya Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo UNMISS yaangaliwe upya, kwa madai kuwa nchi hiyo haijaridhika na utendaji wa kikosi hicho. Msemaji wa serikali ya nchi hiyo Bw. Michael Makuei amesema, chini ya mfumo wa sasa, RPF[…]

Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China.

Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China. Kulingana na idara ya kulinda mazingira ya Taipei joto kali lilipunguza kiwango cha oksijeni ndani ya maji na hivyo kusababisha kufa kwa samaki hao. Kumekuwa na joto kali kwa siku 16 hadi tarehe 29 Agosti likifikia nyuzi 36. CHANZO : CRI[…]

Uwanja wa Ndege Ter. III, Serikali yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameridhishwa na na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la abiria katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal Three ambalo mpaka sasa limekwisha kukamilika kwa asilimia 64 na kwamba Serikali imejipanga kuhakikisha jengo hilo linakamilika kwa wakati. Akizungumza katika ziara ya kutembelea Ujenzi huo Prof. Mbarawa amesema[…]

Bomoa Bomoa Dar yasitishwa, Mkuu wa Mkoa awaondoa hofu Msimbazi, Toangoma

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda ametangaza kusimamishwa kwa zoezi la bomoa bomoa ya nyumba 17,000 zilizopo katika bonde la Mto Msimbazi lililotangazwa na baraza la Usimamizi wa mazingira -NEMC hivi karibuni ambapo wakazi wake walifungua kesi mahakama ya ardhi kupinga zoezi hilo miaka miwili iliyopita na kushindwa zaidi ya mara tatu. Akizungumza katika[…]