Ujenzi wa Uzio Machimbo ya Mererani, Rais Magufuli aliagiza JWTZ kujenga uzio mara moja

Rais John Pombe Magufuli ameliagiza jeshi la wananchi wa Tanzania kwa kushirikiana na Suma JKT kuanza mara moja ujenzi wa uzio katika eneo lote la machimbo ya Madini ya Tanzanite lililopo mji mdogo wa Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara ili kudhibiti wizi na uuzaji holela wa madini ya Tanzanite. Akiwa ameongozana na waziri wa ujenzi[…]

Vurugu zazuka Jangwani, Askari Polisi watatu na mwandishi wajeruhiwa

Askari wa jeshi la polisi watatu na mwandishi wa habari mmoja ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika vurugu zilizoanzishwa na wakazi wa Jangwani jijini DSM waliokuwa wakipinga ubomoaji wa mabanda katika eneo hilo kupisha mradi wa kuchakata maji taka kuwa safi. Mradi huo unaotekelezwa na Halmashauri ya manispaa ya Ilala jijini dsm ulitakiwa kuanza mwanzoni[…]

Utekelezaji wa sheria ya mazingira, Serikali yavitahadharisha viwanda

Naibu waziri wa ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira Luhaga Mpina amesema serikali haitawavumilia wamiliki wa viwanda wanaoshindwa kutekeleza sheria ya utunzaji mazingira kwa kisingizio cha kufamnya uwekezaji huku wananchi wakiendelea kuvilalamikia. Naibu waziri Mpina ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kutembelea viwanda[…]

Kushiriki kulinda amani Sudan kusini, UNHCR yawapa semina askari wa kike

Shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi,UNHCR,limeendesha semina ya siku mbili kwa askari wake wa kike ili kuwapa uwezo wa kushiriki katika kulinda amani katika eneo lenye mgogoro ambako wanawake wanabakwa na watoto wanafanyiwa ukatili. Mmoja wa maofisa wa polisi kutoka Gambia, Aja Mbye amesema mafunzo hayo yana manufaa kwani tangu ameyapata sasa ana uwezo[…]