Mbunge Peter Msigwa afikishwa mahakamani kwa Kutishia kuua na Kutusi

MBUNGE wa Iringa mjini (CHADEMA) Mch. Peter Msigwa leo amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Iringa kwa tuhuma za kutukana na kumtishia kifo aliyekuwa diwani wa chama hicho katika kata ya Kitwiru mjini Iringa Baraka Kimata ambaye hivi karibuni alijivua uanachama wa chama hicho. Akisoma shitaka hilo Hakimu wa mahakama ya mwanzo Bi Rehema Mayagilo[…]

Vibanda vya Wavuvi haramu vyateketezwa katika bwawa la Maji Igombe

Katika kuendelea kukabiliana na uharibifu unaofanmywa na baadhi ya watu katika bwawa la Igombe kwa kuendesha shughuli mbalimbali za kibinadamu, kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Tabora imefanya oparesheni maalum katika maeneo ya bwawa hilo ambapo imeteketeza kwa moto vibanda vya wavuvi haramu na kuyashikilia makundi makubwa ya ng’ombe katika eneo la hifadhi[…]

Jukwaa la Wanaushirika DSM, Mkuu wa Mkoa ahimiza uzalishaji kupitia viwanda vidogo

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amezindua jukwaa la wanaushirika wa Mkoa wa DSM unaoundwa na vikundi zaidi ya 670 na kuhimiza uzalishaji kupitia viwanda vidogo vidogo na vya kati ili kuunga Mkono serikali ya awamu ya tano katika uwekezaji kupitia Viwanda. Akizungumza kabla ya kuzindua jukwaa hilo la ushirika lenye wanachama zaidi ya[…]

Sekta ya Habari, Rasimu za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao zajadiliwa

Serikali imeanza kupokea maoni ya wadau wa habari juu ya rasimu mpya za kanuni ya maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii, huku ikibainisha kuwa rasimu hizo hazina nia kuvibana vyombo vya habari wala kuzuia uhuru wa kutoa maoni. Rasimu hizo mpya zinalengo la kuifanyia maboresho kanuni za Utangazaji za mwaka 2011, zimeelezewa na serikali[…]

Hali ya Huduma za Kifedha Tanzania, Benki Kuu yaridhishwa na ukuaji wa matumizi ya huduma

Benki Kuu ya Tanzania BOT imeridhishwa na hali ya matumizi ya huduma za kifedha nchini, licha ya kwamba katika baadhi ya maeneo, wananchi bado wanahitaji elimu ya kuwawezesha kutumia huduma hizo. Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu akizungumza wakati wa kuzindua ripoti ya utafiti wa kitaifa unaotoa uelewa mpana kuhusu hali ya huduma za[…]

Mgodi wa dhahabu wafungwa kukosa umeme, Wachimbaji wa madini ya dhahabu Ruvuma waililia Tanesco

Wachimbaji wa kati wa madini ya dhahabu mkoani Ruvuma wameliomba shirika la umeme Tanesco mkoani humo kuwapelekea umeme ili kurahisisha shughuli za uchimbaji ambazo kwa sasa zimesimama kutokana na wamiliki wa migodi kushindwa kuendesha mradi kwa kile walichodai kuwa gharama ya uendeshaji ni kubwa ambapo kwa siku wanatumia mafuta ya Jenereta lita 600.kutoka Ruvuma GEOFREY[…]