Ajali Mumbai India, Watu 12 wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa

  Watu kumi na wawili wameuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa, kufuatia kisa cha mkanyagano baada ya daraja moja kuporomoka karibu na kituo cha treni, mjini Mumbai India. Mashuhuda wa tuki hilo wanasema wanasema, daraja hilo huenda liliporomoka kutokana mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati huo, hali ambayo iliwafanya watu kukimbilia mahala hapo kujikinga. Hata[…]

Mvutano wa kisiasa Kenya, Kiongozi wa upinzani atangaza kusitisha maandamano

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kusitisha maandamano kushinikiza mageuzi ndani ya tume ya uchaguzi na kukizuwia chama tawala kuondoa kinga dhidi ya udanganyifu kuelekea uchaguzi mpya wa rais. Hata hivyo Odinga ameitisha maandamano ya nchi nzima wiki ijayo, baada ya mazungumzo kuvunjika jana kati ya tume ya uchauguzi, chama tawala cha Jubilee,[…]

Serikali ya Msumbiji yakana tuhuma za Umoja wa mataifa kuhusu ununuzi wa silaha kwa Korea Kaskazini

Serikali ya Msumbiji imekana tuhuma za Umoja wa mataifa kuwa inanunua silaha na vifaa vya kijeshi kutoka kwa kampuni mmoja ya Korea Kaskazini. Zaidi ya wiki mbili zilizopita wataalamu wa Baraza la usalama la Umoja wa mataifa walisema kwenye ripoti yao kwamba kampuni moja ya uwekezaji iliyo chini wizara ya ulinzi ya Msumbiji ililipa dola[…]