Baada ya Uchaguzi wa Marudio Kenya, Kiongozi wa upinzani apendekeza serikali ya muda iundwe

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amependekeza serikali ya muda iundwe nchi humo na kutawala kwa muda wa miezi sita kama sehemu ya kutatua mzozo wa kisiasa nchini ambao bado umelikabili taifa hilo licha ya matokeo ya uchaguzi wa pili kutangazwa. Bw Odinga, ambaye alisusia uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi uliopita, amesema katika kipindi[…]

Mabasi yaendayo haraka DSM, UDART kurejesha huduma katika hali ya kawaida Kesho

Watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam UDART wamemweleza Naibu waziri ofisi ya rais – TAMISEMI Josephat Kandege kuwa wanataraji kurejesha huduma katika hali ya kawaida kesho , mara baada ya kukamilisha taratibu za utoaji wa vifaa vya kutengenezea magari yaliyoathirika na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa[…]

Kiwanda cha Bakhresa kilichoko Mwandege, Mkuranga katika kipindi cha miaka mitatu kimenunua tani 70,000 za matunda

Kiwanda cha kuchakata matunda cha Bakresa Food Products ambacho ni miongoni mwa makampuni tanzu ya Bakhresa kilichoko Mwandege, Mkuranga Mkoa wa Pwani katika kipindi cha miaka mitatu kimenunua tani 70,000 za matunda mbalimbali yenye thamani ya shilingi bilioni 16 kutoka kwa wakulima huku kikielezea kuwepo kwa nakisi ya upatikanaji wa matunda kwa zaidi ya tani[…]

Mgogoro wa Catalonia, Muungano wa vyama vya wfanyakazi washinikiza maandamano

Muungano wa vyama vya wafanyakazi katika eneo la Catalonia umewatolea wito wakazi wa eneo hilo kumiminika mitaani leo huku mkutano mkubwa unaounga mkono uhuru wa eneo hilo ukitarajiwa kufanyika mjini Barcelona. Hayo yanajiri wakati ambapo mzozo wa kisiasa unaendelea kushuhudiwa nchini Uhispania na kuvuruga kabisa mustakabali wa taia hilo.. Wakati huo huo Mahakama ya Brussels[…]

Matumizi ya Silaha za Nyuklia, Rais Trump aionya Korea kaskazini asema wala isilijaribu taifa hilo

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un kauli ambayo ameitoa katika hotuba ndani ya bunge la Korea Kusini. Trump amesema kamwe Korea kaskazini isilidharau taifa la Maekani wala kulijaribu huku akimuonya kiongozi huo wa Korea kaskazini kwamba silaha unazojilimbikizia hazimfanyi kuwa salama lakini zinaweka katika hali[…]