Naibu waziri wa uchukuzi na mawasiliano amekiri kuwepo kwa mashambulizi mtandaoni

Naibu waziri wa uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amekiri kuwepo kwa mashambulizi mtandaoni dunia nzima ambayo mara tu yanapofanywa husambaa kwa kasi na kwa muda mfupi. Hata hivyo amesema juhudi za pamoja zinahitajika katika kukabiliana na tatizo hilo ambalo huathiri sehemu muhimu ikiwemo mabenki na taasisi nyingine za kiserikali. Akifungua mkutano wa kimataifa wa[…]