Mbio za Mwenge wa Uhuru 2018,Uzinduzi rasmi kufanywa na Waziri Mkuu mkoani Geita

Shamra shamra za Maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge kitaifa mwaka 2018 yanayotarajiwa kufanyika kitaifa April mbili wilayani Geita, Mkoani Geita yamekamilika kwa asilimia 95 ambapo waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Baada ya kutembelea na kukagua hali ya uwanja na miundombinu mbalimbali katika uwanja wa Magogo zitakapofanyika sherehe[…]

Wakazi Upanga wadai kuvamiwa,Kundi la vijana 15 lawaondoa kwenye nyumba kwa nguvu

Wakazi wanaoishi katika jengo lililopo mtaa wa Kibasila Upanga jijini dsm wamedai kuvamiwa na Vijana zaidi ya 15 mapema leo Asubuhi na kutolewa samani na vitu vyote nje kwa madai kuondolewa katika jengo wanaloishi la ghorofa moja kwa sababu ambazo bado hazihjafahamika. Wakizungumza na waandishi waliofika eneo hilo wapangaji hao ambao wanaishi katika jengo hilo[…]

Urusi,Yaitaka Uingereza kuwarudisha nyumbani wanadiplomasia 50

Urusi imeiambia Uingereza kuwa lazima iwarejeshe nyumbani wanadiplomasia wake zaidi ya 50 katika mgogoro unaoendelea kuwa mbaya na nchi za Magharibi kuhusiana na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi Sergei Skripal na binti yake Yulia lililotokea nchini Uingereza. Urusi tayari imejibu hatua za Uingereza na kuwatimua wanadiplomasia 23 wa Uingereza kufuatia[…]

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa,Ataka uchunguzi kuhusu mauaji ya Wapalestina Gaza

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka uchunguzi huru na wenye uwazi katika mauaji ya Wapalestina 16 yaliyofanywa na wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.Msemaji wa Guterres Taye-Brook Zerehoun ameyasema hayo na kuongeza kuwa katibu mkuu huyo alikuwa akihofu kwamba hali inaweza kuendelea kuwa mbaya katika eneo hilo. Baraza la Usalama la[…]

Chama cha upinzani Congo,Chamchagua Tshisekedi kuwaongoza

Chama kikuu cha upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimemchagua mtoto wa mwanzilishi wake, kuwa kiongozi wake na mgombea wa uchaguzi uliocheleweshwa na ambao unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Baada ya mkutano uliodumu usiku kucha mjini Kinshasa, Chama cha The Union for Democracy and Social Progress – UDPS kimesema Felix Tshisekedi, mtoto wa[…]

Sierra Leone,Wananchi wapiga kura kuchagua rais mpya

Wapiga kura nchini Sierra Leone wamemiminika katika vituo vya kupigia kura hii leo kumchagua rais mpya katika kinyang’aniro kikali cha awamu ya pili ya uchaguzi kati ya kiongozi wa upinzani Julius Maada Bio na mgombea wa chama tawala Samura Kamara. Bio, wa chama cha upinzani cha Sierra Leone People’s Party – SLPP, alipata ushindi mwembamba[…]

Makato ya mikopo ya Elimu ya juu,Waajiri watakiwa kutositisha bila uthibitisho wa Bodi

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini imewataka waajiri wote kutoka mashirika,kampuni na taasisi mbalimbali kutositisha makato ya kisheria kutoka kwenye mishahara ya wanufaika wa mikopo ya elimu walio ajiriwa na taasisi zao mpaka pale watakapopata taarifa rasmi kutoka bodi hiyo. Kauli hii inatolewa mkoani Arusha na meneja msaidizi kitengo cha urejeshaji[…]