Mkutano kati ya Trump na Kim,Rais Trump naye aonyesha tahadhari

Siku moja baada ya Korea Kaskazini kutangaza kuwa huenda ikahairisha mkutano wake ulipangwa kufanyika mwezi June mwaka huu kati ya Kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Donald Trump hatimaye naye Rais wa Marekani Doland Trump ameonyesha tahadhari kuhusu mkutano huo Korea Kaskazini jana ilitangaza kwamba imesema inaweza kusitisha mkutano huo iwapo Marekani itaendelea kuishinikiza kuachana[…]

Marekani kujiondoa katika mkataba wa Iran,Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya laikosoa vikali

Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Donald Tusk amemkosoa vikali Rais wa Marekani Donald Trump hapo jana, wakati viongozi wa umoja huo walipokutana kwa mjini Sofia, Bulgaria kutafuta suluhisho la pamoja baada ya Marekani kujiondoa kutoka katika makubaliano ya nyuklia na Iran. Tusk amesema Ulaya imshukuru Rais Trump kwa kuwagutua kwamba walikuwa wakijidanganya, na[…]

Kura ya maoni Burundi,Hatimaye wananchi wapiga kura

Burundi imepiga kura ya maoni inayopanga kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba ambapo marekebisho hayo ya katiba yakiidhinishwa na wananchi huenda rais Pierre Nkurunziza akaongoza taifa hilo hadi mwaka wa 2034. Hata hivyo kampeni hizo zimechafuliwa na tishio za upinzani kususia kura hiyo ya maamuzi huo na pia madai kwamba serikali imekuwa[…]