Rais Magufuli amesema kuwa taifa la Tanzania litasambaratika endapo madhehebu ya dini mbalimbali ikiwemo kanisa Katoliki yatashindwa kusimamia kuiunga mkono serikali kuhamasisha uimarishaji wa amani

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani Dkt John pombe Magufuli kupitia waziri wa katiba na sheria amesema kuwa taifa la Tanzania litasambaratika endapo madhehebu ya dini mbalimbali ikiwemo kanisa Katoliki yatashindwa kusimamia kuiunga mkono serikali kuhamasisha uimarishaji wa amani,utulivu na umoja wa taifa pamoja na kujituma kufanya kazi. Dkt Magufuli anayatoa hayo kupitia hotuba[…]

Makonda leo ametoa wito kwa Vilabu vya Jogging katika Mkoa wa Dsm kutumia fursa za kiuchumi na kibiashara kwa kujiunga katika vikundi na kujisajili ili kuanzisha miradi

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo ametoa wito kwa Vilabu vya Jogging katika Mkoa wa Dsm kutumia fursa za kiuchumi na kibiashara kwa kujiunga katika vikundi na kujisajili ili kuanzisha miradi itakayowasaidia kujipatia kipato kupitia vikundi vyao. Makonda ametoa rai hiyo wakati wa tamasha la vilabu zaidi ya 250 kutoka katika wilaya zote[…]

Serikali imeombwa kuwaondoa watu wenye ualbino katika makambi ambayo wamekuwa wakiishi kutokana na hofu ha kuuwawa na kufanyiwa vitendo vya ukatili

Serikali imeombwa kuwaondoa watu wenye ualbino katika makambi ambayo wamekuwa wakiishi kutokana na hofu ha kuuwawa na kufanyiwa vitendo vya ukatili, kwani wao ni binadamu na wanapaswa kuishi kama watu wengi na kwamba kutokana na kuishi kwenye hayo, imekuwa njia ya baadhi ya wazazi kuwatelekeza na kutowahudumia. Wakizungumza na Chanel Ten katika mahojiano maalum, baada[…]

Miche ya Miti Milion 10 Kupandwa Musoma kwa ajili ya kusambazwa katika halmshauri manispaa yake

Serikali wilayani Musoma mkoani Mara imebuni mradi wa uzalishaji miche zaidi ya million kumi kwaajili ya kusambazwa katika halmshauri manispaa ya Musoma na halmashauri ya Musoma vijijini bure ili kupunguza hali ya ukame inayotokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayozikabili nchi nyingi hususani zilizopo kusini mwa jangwa la sahara. Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vitakavyotumika[…]

Mkuu wa Mkoa wa Geita ameitaka jamii kuwajibika kila mmoja kwenye eneo lake,na ili uishi kwa amani hapa duniani ni kutenda yale yanayompendeza Mungu

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amesema ili uishi kwa amani hapa duniani ni kutenda yale yanayompendeza mungu,na kuitaka jamii kuwajibika kila mmoja kwenye eneo lake,na kwa uadilifu mkubwa ili tutakapokufa tukumbukwe kwa matendo yetu tuliyoyaacha hapa duniani na siku ya kiama kila mmoja atoe kwenye hesabu zake. Mkuu huyo wa Mkoa,ameyasema hayo[…]

Raia nchini Mali wanapiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais, ambapo rais anayemaliza muhula wake Ibrahim Boubacar Keita anatarajiwa kumshinda mpinzani wake

Raia nchini Mali wanapiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais, ambapo rais anayemaliza muhula wake Ibrahim Boubacar Keita anatarajiwa kumshinda mpinzani wake, waziri wa zamani wa fedha Soumaila Cisse, licha ya kuongezeka kwa machafuko ya kikabila na kigaidi wakati wa utawala wake. Vikosi vya usalama vimesema kuwa vimezuia njama ya mashambulizi katika[…]