Tuhuma za M/kiti Pwani, Mkuu wa wilaya ya Kibaha Asumpta Mshama ametupilia mbali malalamiko ya baadhi ya wananchi waliokuwa wakimtuhumu mwenyekiti wa kijiji cha Dutumi kwa wizi wa mali za kijiji kuwa hazina ukweli

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Asumpta Mshama ametupilia mbali malalamiko ya baadhi ya wananchi waliokuwa wakimtuhumu mwenyekiti wa kijiji cha Dutumi kata ya Dutumi halmashauri ya wilaya ya Kibaha kwa wizi wa mali za kijiji kuwa hazina ukweli. Mshama amewataka wanaomlalamikia mwenyekiti huyo Mkali Kanusu , kupeleka kwa maandishi tuhuma zake zikiambatana na vielelezo vinavyothibitisha[…]

Wakulima wa mazao ya Njegere na Mahindi Kilolo mkoani Iringa wameiomba serikali kudhibiti wimbi la walanguzi wa mazao yao

Wakulima wa mazao ya Njegere na Mahindi kutoka vijiji vya Ukumbi na Ng’uruhe vilivyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameiomba serikali kudhibiti wimbi la walanguzi wa mazao yao ambao wamekuwa kikwazo cha maendeleo yao kiuchumi kwa muda mrefu sasa. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya Iringa Mpya, wakulima hao[…]

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dsm limesema uchaguzi mdogo wa Ukonga na Udiwani katika kata ya Vingunguti umefanyika kwa utulivu na amani huku jeshi hilo likipongeza askari wake kwa kufanya kazi kwa weledi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dsm limesema uchaguzi mdogo wa Ukonga na Udiwani katika kata ya Vingunguti umefanyika kwa utulivu na amani huku jeshi hilo likipongeza askari wake kwa kufanya kazi kwa weledi jinsi walivyosimamia usalama wakati wa Kampeni na upigaji kura. Akizungumza na Askari zaidi ya 800 walioshiriki katika Kusimamia uchaguzi huo kutoka[…]

Mgombea Ubunge kupitia chama cha Mapinduzi Mwita Waitara ameibuka Mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Ukonga uliofanyika jana baada ya Kumshinda Mpinzani wake Asia Msangi wa CHADEMA

Mgombea Ubunge kupitia chama cha Mapinduzi Mwita Waitara ameibuka Mshindi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Ukonga uliofanyika jana baada ya Kumshinda Mpinzani wake Asia Msangi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Akitangaza Matokeo ya Uchaguzi huo, uliojumuisha wagombea kutoka vyama 14, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi huo,[…]

Wataalamu wa Kimataifa wazungumzia maendeleo ya China Kongamano maalumu la baraza la ngazi ya juu la maendeleo ya China lilifanyika jana mjini Beijing

Wataalamu wa Kimataifa wazungumzia maendeleo ya China Kongamano maalumu la baraza la ngazi ya juu la maendeleo ya China lilifanyika jana mjini Beijing, na wajumbe karibu 800 kutoka sekta ya viwanda, vyuo vikuu na serikali duniani wametoa maoni kuhusu maendeleo na mageuzi ya China katika zama mpya. Bw. Robert Bruce Zoellick aliyekuwa mkuu wa Benki[…]