Rais Magufuli, kesho anatarajiwa kukabidhi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.

Rais Dkt John Pombe Magufuli, kesho anatarajiwa kukabidhi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA mfumo ambao utawezesha mambo mbalimbali ikiwemo Upatikanaji wa takwimu za mawasiliano ya Simu yanayofanyika ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Mhandisi James Kilaba amewaambia waandishi wa[…]

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea leseni ya usajili wa chaneli ya utalii ya Tanzania Safari ambayo itaiwezesha kuoneshwa kwa umma bila ya malipo yoyote.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea leseni ya usajili wa chaneli ya utalii ya Tanzania Safari ambayo itaiwezesha kuoneshwa kwa umma bila ya malipo yoyote (a must-carry channel) na wamiliki wa visimbusi. Waziri Mkuu amekabidhiwa leseni hiyo kwenye kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma ambako alitaka apewe mrejesho kutoka kwa wajumbe wa Kamati Maalum ya[…]