HATIMAYE changamoto ya ukosefu wa usafiri wa uhakika kutoka Wete-kwenda Unguja na kutoka Wete kwenda Tanga ambayo imekuwa ikiwakabili wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba imepatiwa ufumbuzi.

HATIMAYE changamoto ya ukosefu wa usafiri wa uhakika kutoka Wete-kwenda Unguja na kutoka Wete kwenda Tanga ambayo imekuwa ikiwakabili wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba imepatiwa ufumbuzi, baada ya kampuni ya Zanzibar First Feries kuzindua meli ya MV sister one. Meli hiyo ambayo itakuwa ikifanya safari zake kutoka bandari ya wete, imetajwa kuwa ni mkombozi[…]

Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha kimesema kitaendelea kutekeleza ilani ya chama hicho kama kilivyowaahidi wananchi wakati kuomba ridhaa ya kuwaongoza ikiwemo kuendelea kutoa Elimu bila Malipo.

Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha kimesema kitaendelea kutekeleza ilani ya chama hicho kama kilivyowaahidi wananchi wakati kuomba ridhaa ya kuwaongoza ikiwemo kuendelea kutoa Elimu bila Malipo kwa wanafunzi wote kuanzia shule za msingi Hadi sekondari. Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi mkoani Arusha LOATA SANARE ameyasema hayo Wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa[…]

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua eneo la ujenzi wa hospitali ya Uhuru lenye ukubwa wa ekari 109 lililoko katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.

Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Maduma wilayani humo Waziri Mkuu amesema uamuzi wa Serikali ya kijiji hicho wa kutenga maeneo ya maendeleo ni wa kupigiwa mfano na vijiji vya maeneo mengine. Waziri Mkuu amewataka wakazi wa wilaya ya Chamwino wasibweteke bali kila mmoja ajipange kufanya kazi kama ambavyo Rais John Magufuli amekuwa akihimiza hususan[…]

Rais Dkt.John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia makabidhiano ya mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu kutoka kwa makandarasi waliotengeneza mfumo huo ambao umekabidhiwa kwa Mamlala ya Mawasiliano Tanzania TCRA.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia makabidhiano ya mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu kutoka kwa makandarasi waliotengeneza mfumo huo ambao umekabidhiwa kwa Mamlala ya Mawasiliano Tanzania TCRA wenye lengo la kudhibiti huduma za mawasiliano na kukabiliana na changamoto zinajitokeza kutokana na mabadiliko ya teknolojia. Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kutiliana[…]