Benki Kuu ya Tanzania BOT imezitaka taasisi za fedha nchini yakiwemo mabenki kuongeza ubunifu kwenye matumizi ya teknolojia za kigitali ili kurahisishi huduma kwa wateja.

Benki Kuu ya Tanzania BOT imezitaka taasisi za fedha nchini yakiwemo mabenki kuongeza ubunifu kwenye matumizi ya teknolojia za kigitali ili kurahisishi huduma kwa wateja, hatua itakayookoa muda mwingi wa kufuatilia huduma hizo kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Naibu Gavana wa BOT Dkt. Bernard Kibesse ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa mfumo mpya[…]

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wametakiwa kuutumia uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa, kuchagua viongozi bora ambao watasaidia kusukuma maendeleo ya taifa.

Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa wa Chama cha Mapinduzi kanal Ngemela Lubinga, anasema haya akiwa Jijini Mbeya wakati akizungumza na Halmashauri kuu ya CCM Mbeya Mjini, ambapo amewataka kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ambao watakuwa ni chachu ya ushindo monono hapo mwakani, huku akiwatahadharisha Wanaccm kuwa wanalo deni kubwa la kupoteza jimbo[…]

Shirika la ndege la Tanzania ATCL leo limezindua rasmi safari za ndege zake kwenda nchi za Zambia na Zimbabwe ambapo ndege aina ya airbus A220-300 itakuwa ikiruka mara tatu kwa wiki.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam waziri wa uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Izak Kamwelwe amesema shirika la ndege la Tanzania linaendelea na mkakati wake wa kujiimarisha kuahakikisha wanaruka katika nchi zote za afrika na baadhi ya nchi za bara la Asia. Amesema baada ya kuzindua safari za nchi za Uganda na Burundi[…]

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wakazi wa mkoa wa Tabora kuwa upatikanaji wa maji safi na salama utakuwa umeongezeka kutoka asilimia 53 iliyopo sasa hadi kufikia asilimia 85 ifikapo mwaka 2020 kwa wananchi waishio vijijini.

Makamu wa Raisi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa tarafa ya nsimbo katika ziara yake kwilayani igunga mkoani Tabora Amesmea wilaya ya igunga ni miongoni mwa wilaya zinazokabiliwa na tatizo la maji na kwamba serikali inaendelea na mikakati kutatua changamoto hiyo. Katika hatua nyingine akazungumzia kusikitishwa na suala la mimba za utotoni katika[…]