Kijana Elias Marwa amenasa kwenye Mawe akisaka Madini.

Kijana mwenye umri wa miaka 24 Elias Marwa mkazi wa mtaa Nyabisale kata ya Bweri Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara amenasa kwenye mwamba mkubwa wa jiwe wakati akisaka madini.


Vyombo vya ulinzi na usalama jeshi la wananchi, zima moto, uhamiaji na polisi kwa ushirikiano mkubwa wanahangaika kumnasua kwa kutoa mawe madogo madogo yaliyopo kwenye njia ya kuingilia.

Comments

comments

clement

Read Previous

Waziri Mkuu wa Uingereza amepata pigo mara mbili.

Read Next

Vurugu dhidi ya Rais wa Kigeni Afrika Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!