Changamoto za Wazee Mkoani Simiyu.

Wazee Mkoani Simiyu, wamemuomba Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya Siku ya Wazee Octoba Mosi mwaka huu, popote pale zitakapofanyika ili waweze kumueleza mambo yao yanayowasibu, huku wakitaka kila atakapofanya ziara mikoani akutane na wazee wa Mikoa husika ili waweze kuzungumza pamoja kama anavyozungumza na makundi ya watu wengine.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Wazee hao kutoka Wilayani Busega Mkoani hapa wanasema wanamambo mengi ya kumueleza Mheshimiwa Rasi Dkt. John Magufuli na kwamba kama atakuwa mgeni Rasmi katika siku ya Sherehe za wazee Octoba Mosi watatumia nafasi hiyo kumueleza mambo yao.

Napapa Meneja wa Miradi wa Shirika la Nabroho, linaloshughulika na masuala mbalimbali ya awazee Wilayani Busega, anaeleza sababau za kutoa mafunzo kuhusu Uelewa wa Sera, Miundo na Mikakati ya Kijanga Jamii kwa Wazee.

Comments

comments

clement

Read Previous

Wakulima wahoji wanunuzi wa Pamba kuhusu malipo.

Read Next

Bunge laridhia Hifadhi Mpya ya Nyerere.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!