Netanyahu akiri Mchuano wa Uchaguzi wa Urais ni mkali.

Waziri Mkuu wa Israel amepiga kura yake leo ambapo amekiri kwamba uchaguzi mkuu huo ni mchuano mkali.

Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura alitoa wito kwa raia wote wa Israel kujitokeza na kupiga kura, ikiwa yeye na mke wake wamejitokeza kutimiza zoezi hilo.

Uchambuzi wa maoni umemuweka Netanyahu na chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud katika nafasi ya bega kwa bega na chama cha siasa za mrengo wa kati cha “Blue na Nyeupe” chenye kuongozwa na Benny Gantz na Yair Lapid.

Comments

comments

clement

Read Previous

Waziri Biteko aipa onyo la mwisho Migodi ya Dhahabu.

Read Next

Mkoa wa Mara umetajwa kuongoza kwa Ukatili wa Kijinsia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!