Netanyahu ashindwa kupata Idadi ya Kutosha ya Wabunge.

Matokeo ya awali katika uchaguzi wa Israel yanaonyesha kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu pamoja na washirika wake wa siasa za kidini na kizalendo wameshindwa kupata idadi ya kutosha ya wabunge katika uchaguzi wa kitaifa uliofanyika hapo jana hali ambayo inatoa nafasi kwa mazungumzo ya kuunda Serikali ya Muungano.

Hata hivyo matokeo hayo ya awali uchaguzi bado hayatoi uhalali wa matokeo kamili huku matokeo kamili yakitarajiwa kutolewa leo na hivyo huenda yakabadilika ingawa vituo vyote vitatu vikuu nchini nchini Israel vilivyotoa majibu hayo ya awali vimetoa majibu sawa ya matokeo ya awali majibu ambayo yanaashiria Wagombea Netanyahu pamoja na mwenzie Gants kuwa na wakati Mgumu wa majadiliano kwa ajili ya kuunda Serikali ya Muungano.

Wabunge katika chama cha Gantz wameelezea uungaji mkono wao wa serikali ya muungano ambayo huenda ikajumuisha wadhfa wa waziri mkuu ambao utakuwa unazunguka kwa watu tofauti.

Comments

comments

clement

Read Previous

Viongozi wa CCM Momba wapewa mikakati.

Read Next

Meli ya “Ocean Viking” imewaokoa kwa mara nyengine watu 109.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!