Wakulima, Wafugaji pamoja na Wavuvi, kisiwani Pemba wametakiwa kufuata taarifa za wataalamu za Hali ya Hewa

Wakulima, Wafugaji pamoja na Wavuvi, kisiwani Pemba wametakiwa kufuata taarifa za wataalamu za Hali ya Hewa ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo itasaidika katika shughuli zao za uzalishaji kwa tija.

Akizungumza katika mafunzo ya wakulima na wafugaji kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara ya kilimo Weni , Mponda Jumanne Maloso kutoka mamlaka ya hali ya hewa amewataka wakulima na wafugaji kuendesha shughuli zinazoendana na mabadiliko ya hali ya hewa

Afisa Mipango, kutoka kitengo cha mabadiliko ya tabianchi Wizara ya Kilimo Zanzibar, Nassor Salim Muhammed, amewataka wakulima kufuata njia sahihi za kilimo zinazotolewa na wataalamu, hali itakayosaidia kupata mbegu salama na kuzalisha kwa wingi.

Comments

comments

clement

Read Previous

Waziri Mkuu ampa Maagizo kamanda wa TAKUKURU Singida.

Read Next

Vigogo wa CHADEMA, Njombe wahamia CCM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram