Jeshi la Polisi Tarime RORYA lawashikilia watano.

Jeshi la polisi kanda maalumu Tarime Rorya mkoa wa Mara linawashikilia watu watano akiwemo Diwani wa kata ya kwihanja Bw.Mustapha Nyamhanga na mwenyekiti wa kijiji cha Kibaso Bw. Segere Marwa wakituhumiwa kumshambulia kwa kipigo hadi kumvunja taya kijana aliyekuwa akisimika bendera ya chama cha mapinduzi kwa madai kuwa hawataki kuona bendera kwenye maeneo wanayotawala.

Kamandawajeshi la polisimkoawakipolisiTarimeRoryaKamishinamsaidizimwandamizi Henry Mwaibambe amesemakuwahivikaribunivyamavyakisiasaccmnachademawamekuwawakichomeanabendelahaliinayosababishauvunjifuwa Amani ambapowatuhumiwawatanowalitendakosa la kumjeruhikijanaaliyefahamikakwajina la NyangweMagabebaadayakumkutaakipandishabendelayaccmkwenyemtiwamuembe.

Kijanahuyoamezungumzana Channel ten akiwaamelazwakatikahospitaliyarufaamkoawamaraambapodakitariwakinywanamenomkoawaMara Dkt.Nila Jackson amesemakuwamgonjwahuyoamevunjikataya la kushotio.

KutokananahalihiyoviongoziwachamachamapinduziWilayayaTarimewamewasihivijanakuwawatulivuwakatiserikaliikiendeleanauchunguziwavuruguzauvunjifuwa Amani zilizoibuka wakati wakielekea kwenye uchaguza wa serikalizamitaa.

Comments

comments

clement

Read Previous

Waliovamia eneo watakiwa kuondoka.

Read Next

Mfuko wa Dunia Global Fund.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!