Rais aviagiza vyombo vya Ulinzi na Usalama Katavi kuwa Imara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Katavi kusimamia amani ya Tanzania na kuwataka watanzania wapya kutokupokea ndugu zao kutoka nchini Burundi.

Aidha rais magufuli amwemwagiza waziri wa Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Selemani Jaffo kuhakikisha halmashauri ya Mpanda ibadilishwe jina na kuwa halmashauri ya Tanganyika na sio Mpanda,huku akitoa siku 30 watumishi wa halmashauri hiyo kuamia wilayani Tanganyika.

Comments

comments

clement

Read Previous

Meli ya Mafuta ya Iran yashambuliwa Saudia.

Read Next

Kilele cha Mbio za Mwenge na Miaka 20 Bila Baba wa Taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!