Idadi ya Vifo kutokana na Tetemeko la Ardhi Ufilipino yafikia Saba.

Idadi ya vifo vilivyotokana na tetemeko la ardhi imefikia watu saba huku wengine wengi wakijeruhiwa.

Tetemeko hilo lililopiga kusini mwa nchi hiyo pia lilisababisha uharibifu mkubwa ukiwemo wa majengo na kujeruhi watu, wengine wakiwa ni watoto wa shule na walimu wao waliokuwemo kwenye jengo hili ambalo limeharibiwa vibaya.

Mamlaka za nchi hiyo zimeonya kuwa idadi ya vifo huenda ikaongezeka.

Comments

comments

clement

Read Previous

Mafuriko Nchini Somalia, Watu 182,000 wakosa Makazi.

Read Next

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!