Zaidi ya Watu 73 wafariki Nchini Pakistan.

Abiria 64 wa treni wamefariki wakati treni iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Pakistan wa Karachi kwenda Rawalpindi kuwaka moto, na kujeruhi watu wengine 30 huku idadi hiyo ya vifo ikihofiwa kuongezeka.

Waziri wa masuala ya Reli, Sheikh Rashid Ahmed, amesema moto huo ulisababishwa na mlipuko wa gesi iliyokuwa ikitumiwa na abiria kupikia kifungua kinywa.

Moto huo unasadikiwa baada ya mlipuko ulienea kwa haraka katika mabehewa yote matatu.

Kwa mujibu wa maafisa wa treni hiyo na mashuhuda, abiria wengi walifariki wakati wakijaribu kuruka kutoka kwneye treni hiyo iliyowaka moto.

Comments

comments

clement

Read Previous

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.

Read Next

Mawasiliano ya Handeni na Kilindi yarejea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!