Kuelekea mechi ya soka ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC.

Kuelekea mechi ya soka ya Kirafiki kati ya timu ya ZEINI ICE-CREAM Football Club na timu ya AMGL FC inayoundwa na wafanyakazi wa Channel Ten na Magic FM itakayopigwa kesho katika uwanja wa michezo wa JK Park kidongo jijini Dar es Salaam, Channel Ten Michezo imezungumza na wachezaji pamoja na viongozi wa timu hizo mbili.

Miongoni mwa mambo waliozungumza ni pamoja na maandalizi ya timu zenyewe, huku tambo zikishika hatamu kwa kila upande kuvutia kamba kwake ukijivunia uwezo, lakini mkurugenzi wa Zeini FC ABDUL SHEIKH akisema pamoja na kushindania matokeo, mechi hiyo pia ni ya kujenga ujirani mwema na mashirikiano katika kazi.

Tazama Video hapa Chini;

Comments

comments

clement

Read Previous

Miaka Minne ya Mhe. Rais Dkt. Magufuli madarakani.

Read Next

Rais Dkt. Magufuli amuapisha CAG Mpya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!