Rai ya serikali kwa mashabiki kuelekea mechi ya watani wa jadi.

Kuelekea Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe amewataka watanzania kujitokeza, waingie uwanjani bila kuchelewa, lakini zaidi akisisitiza umuhimu wa kuzingatia agizo la tahadhari lililotolewa na Wizara ya Afya kuhusu umuhimu wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, ikiwemo kuepuka utamadumi wa jadi wa kusalimiana kwa mikono pamoja na kukumbatiana.

Comments

comments

clement

Read Previous

Wachimbaji wadogo wa madini wameiomba Serikali kuwathamini na kuwapa kipaumbele.

Read Next

Vijana kupewa fursa ya kujiajiri kwenye Sekta ya Mifugo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!