Gary Neville ajitolea hotel zake kusaidia visa vya Corona.

Beki wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Gary Neville ameshauri wachezaji wa ligi kuu nchini Uingereza kujitokeza kusaidia mahitaji mbalimbali kwa ajili ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Neville ameyasema hayo baada ya kutoa hoteli zake mbili za jijini Manchester kusaidia utoaji wa huduma kwa waathirika wa virusi vya Corona.

Matukio mbalimbali ya kimichezo nchini Uingereza ikiwemo ligi kuu ya soka yamesimamishwa mpaka Aprili 30, ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona ndani na nje ya nchi hiyo.

Comments

comments

clement

Read Previous

Wafanyabiashara kuelekea Comoro wakwama.

Read Next

Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!