Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Mawaziri,Naibu Mawaziri na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Kabla ya kuingia kwenye Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri, Wajumbe wote akiwemo, Mhe.Rais John Pombe Magufuli walichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya Corona.

Comments

comments

clement

Read Previous

Gary Neville ajitolea hotel zake kusaidia visa vya Corona.

Read Next

Mvua zasitisha mawasiliano Ruvuma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!