Wahamiaji haramu 36 wakamatwa mkoani Mara.

Wahamiaji Haramu 36 Raia wa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na DRC Congo wanashikiliwa na Idara ya Uhamiaji mkoa wa Mara kwa makosa ya kugushi vyeti vya kuzaliwa na kufanikiwa kupata ajira katika Taasisi za Umma ikiwemo sekta ya Afya, TRA na Elimu Kinyume cha sheria za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Aidha Naibu Kamushina wa Uhamiaji Mkoa wa Mara Albert Rwelamira amesema kuwa baadhi ya watuhumiwa wamekutwa na Vitambulisho vya Taifa na wengine vya ujasiriamali vilivyotolewa na Mhe.Rais Dkt John Pombe Magufuli

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha asimamisha mnada mwezi mmoja.

Read Next

Idadi ya maambukizi ya Corona Afrika Kusini yafikia 709.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!