Chad imetangaza vifo viwili vya kwanza vilivyotokana na virusi vya Corona.

Nchini humo kuna jumla ya maambukizi 52 tangu kuripotiwa kwa maambukizi ya kwanza Machi 19, huku wizara ya afya ya taifa hilo ikisema watu 19 miongoni mwa hao 52 wamefanikiwa kupona ugonjwa wa COVID-19.

Katika kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona, Chad imependekeza raia wavae barakoa katika maeneo ya umma lakini sio jambo la lazima.

Comments

comments

clement

Read Previous

Malawi yaanza utoaji wa Dola 40 kwa mwezi kwa Raia kukabiliana na Corona.

Read Next

Wagonjwa wapya wa Corona 196 waongezeka nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!