Malawi yaanza utoaji wa Dola 40 kwa mwezi kwa Raia kukabiliana na Corona.

Rais Arthur Peter Mutharika wa Malawi amesema taifa lake litazindua mradi wa dharura wa kusafirisha fedha ambao unatarajiwa kuwalenga watu milioni moja pamoja na wafanyabiashara wadogo walioathiriwa na janga la virusi vya Corona.

Kupitia mpango huo kaya zinazostahili zitapokea kiasi cha fedha ya Malawi kwacha elfu 35, ikiwa sawa na dola 40 kwa mwezi, ikilinganishwa na kiwango cha chini kabisa cha mshahara nchini humo.

Wiki iliyopita Benki ya Dunia imeridhia kitita cha dola 37 milioni kwa lengo la kulisaidia taifa hilo kukabiliana na janga la corona.

Comments

comments

clement

Read Previous

Mvua yakatisha mawasiliano ya Barabara.

Read Next

Chad imetangaza vifo viwili vya kwanza vilivyotokana na virusi vya Corona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!