Vifo vya corona Afrika vyafika 1,692.

Hadi leo visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona Bara la Afrika vimefikia 40,575, vifo 1,692 na waliopona 13,391.

Katika nchi 54 za Afrika ni nchi moja tu, nchi ya Lesotho ambayo haijatangaza mgonjwa hata mmoja aliyethibitishwa kuwa na virusi vya corona.

Afrika ya Kusini inaongoza kwa visa vilivyothibitishwa kuwa na virusi vya corona ikiwa na visa 5,951 na vifo 116, ikifuatiw na Egypt visa 5,895 na vifo 406, Morrocco ikiwa na visa 4,687 na vifo 172 na Algeria ikiwa na visa 4,154 na vifo 453 ikiwa ndiyo Nchi inayoongoza kwa vifo vitokanavyo na virusi vya corona kwenye Bara la Afrika.

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Zahanati ya kanisa kutoa huduma bure.

Read Next

Marekani yaidhinisha matumizi ya dawa ya virusi ya Remdesivir.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!