Vifo vya corona Marekani vyazidi Elfu 70.

Hadi leo hii Marekani bado ndiyo Nchi inayoongoza kwa visa vya corona ikiwa na visa 1,237,633, vifo 72,271 na waliopona 200,628.

Uingereza inaongoza kwa vifo vya corona kwa Bara la Ulaya ikiwa na vifo 29,427 na visa 194,990 huku nchi inayoongoza kwa visa vya corona kwenye Bara hilo ni Uhispania ikiwa na visa 250,561 na vifo 25,613, Italia visa 213,013 na vifo 29,315.

Kwa Bara la Afrika, Nchi ya Afrika Kusini ndiiyo inayoongoza kwa visa vya corona ikiwa na visa 7,572 na vifo 148, Egypt visa 7,201 na vifo 452, Morocco visa 5,219 na vifo 181 na Algeria visa 4,838 na ikiwa ndiyo Nchi yenye vifo vingi Afrika ikiwa na vifo 470.

Comments

comments

Anthony Shija

Read Previous

Jiji la Mwanza hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko.

Read Next

Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow On Instagram
error: Content is protected !!